Alipoanza mahusiano ya kimapenzi na aliyekuwa barafu ya moyo wake Queenter Wambulwa hakuona dalili za makovu makubwa ya baadaye ambayo mahusiano hayo yangeacha baada ya mapenzi hayo kufika mwisho wake ...
Leo katika Makala ya Habari Rafiki, tunajadili tabia ya vijana wengi barani Afrika na kwingineko duniani, kujipiga picha za uchi au utupu wakitumia simu zao au Kamera na kuziweka mitandaoni kama ...