Kabla ya kutimka kwa aliyekuwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic hakuwahi kumchezesha winga mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ na kuibua maswali itakuwaje baada ya jamaa kusepa?