Kabla ya kutimka kwa aliyekuwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic hakuwahi kumchezesha winga mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ na kuibua maswali itakuwaje baada ya jamaa kusepa? Hata ...
Kwa kifupi, mazoezi mepesi hayana madhara kwa ujauzito katika hatua za awali yaani katika chini ya miezi mitatu au muhula wa ...
Watafiti waligundua kuwa unywaji wa glasi moja ya maji kunazuia usagaji wa sumu mwilini na kuipunguzia mzigo figo.
“Kuvunja ungo na kukomaa, hatua ya pili ni kuona nywele sehemu za siri na kuona matiti. Lakini kule kuona nywele na kuona ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa ...
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya ...
Iwapo wazazi watazingatia malezi kwa siku 1000 za kwanza zitasaidia kumkinga mtoto na maradhi 13 ikiwamo kupunguza vifo vya ...
Mkuu wa Shule ya Sekondari Ormelili, Hapriday Msomba amewataka wanafunzi wa shule hiyo kutokaa kimya bali wapaze sauti dhidi ...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amewataka wananchi kuhakikisha wanazifahamu na kuzitumia anuani ...
Mawaziri wameshambulia kujibu hoja za wabunge, huku Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo akitaja mikakati ya ...
Imeelezwa kuwa, kujiamini, kujitambua na ushirikiano kwa wanawake ni mongoni mwa mambo yatakayochochea kundi hilo kufikia ...
Serikali imezialika sekta binafsi, hususan wamiliki na waendeshaji wa viwanda juu ya fursa mpya ya kutumia mabaki ya ...