HUU mwanzo wa Pamba Jiji katika Ligi Kuu msimu huu unaogopesha kweli na kiukweli hauendani na heshima na jina la timu hiyo ya ...
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, leo Septemba 17, 2026 amekagua Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar ...
MZIZIMA Dabi ya jana Jumatano kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam, haikuwa tu mechi ya kawaida kwa Simba ...
SIR Alex Ferguson alikuwa kocha wa St Mirren mara ya mwisho Manchester United ilipopoteza mchezo wa nyumbani Old Trafford ...
LIVERPOOL imepangwa kukutana na Chelsea katika mchezo wa kuvutia wa raundi ya nne ya Kombe la Carabao, huku Arsenal ikipewa ...
KIPA wa Coastal Union, Ahmed Issa, amewataka mashabiki wa timu hiyo kutegemea mazuri kutoka kwake baada ya kuionja ladha ya ...
Rapa wa Marekani, Ludacris ni shemeji yetu kabisa kwa sababu amemuoa mrembo kutokea Afrika, Eudoxie Mbouguiengue ambaye uhusiano wao umedumu kwa miaka 18, huku wakiendelea kuacha alama ...
MAPACHA wanatuacha hoi sana hapa kijiweni ila hatuna tabu nao kwa sababu tumewazoea maisha yao katika namna wanavyoendesha mambo yao.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
UKIRUDI nyuma kwenye sherehe za familia ya Diamond Platnumz za miaka ya nyuma, kuna kitu ambacho ni rahisi kukiona; wasanii wa WCB hawakuwa wageni wa kawaida. Walikuwa sehemu ya burudani yenyewe.
WATU maarufu majina yao yakiwa juu, kila mtu anakuwa anatamani kukaa karibu yao, mtihani mkubwa kwao inakuwa ngumu kujua nani mwenye upendo wa dhati inapofikia hatua ya kutaka kuanzisha familia, wengi ...
KOCHA wa Simba, Steve Barker baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda mabao 2-0 dhidi ya Azam FC, sasa ameanza kuandaa mbinu za kukabiliana na Yanga kwenye Kariakoo Dabi, itakayopigwa Oktoba 10, 2026, Uw ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results